Bishop's Messages

Ujumbe wa Askofu

Bishop Joseph Roman Mlola

Rt. Rev. Joseph Roman Mlola, ALCP/OSS

Bishop of Kigoma

Askofu wa Jimbo Katoliki la Kigoma, Mhashamu Joseph Roman Mlola, ALCP/OSS, anatumikia Jimbo hili tangu tarehe 10 Julai 2014. Kupitia ujumbe wake, anaendelea kuwafikia waamini, makasisi, watawa na watu wote wenye mapenzi mema, akiwashauri, kuwatia moyo na kuwaongoza katika maisha ya kiroho na imani.