Shule (Schools)
Jimbo linasimamia shule za awali, msingi na sekondari, vyuo na taasisi za elimu. Bonyeza kuona zaidi.
Education Department
Shule za sekondari, msingi, awali, vyuo vya ufundi na chuo cha afya cha Kabanga.
Soma Zaidi
Kabanga College of Health & Allied Sciences
Chuo cha elimu ya afya cha Jimbo kinachofundisha wauguzi na wahudumu wa afya.
Soma ZaidiHospitali & Vituo vya Afya (Hospitals & Health)
Hospitali ya rufaa ya Kabanga, vituo vya afya na zahanati mbalimbali za Jimbo.
Kabanga Referral Hospital
Hospitali ya rufaa ya Jimbo yenye huduma kamili za afya kwa jamii nzima.
Soma Zaidi
Vituo vya Afya na Zahanati
Vituo vya afya vya Mulera, Marumba na zahanati za Musagara, Muhinda, Kasumo, Kiganza na Kakonko.
Soma ZaidiHosteli na Vituo vya Mapumziko (Hotels & Retreat Centers)
Vituo vya mapumziko, mafungo na hosteli za Jimbo kwa huduma za kujikaribisha na makazi.
St Paul Center Buhabhugali
Kituo cha mapumziko na mafungo chenye mazingira ya utulivu kwa tafakari na mfarijiko wa kiroho.
Soma ZaidiSt Martha Nzimano Hostel
Hosteli ya Jimbo inayotoa malazi mazuri kwa wanafunzi na wageni.
Soma Zaidi
St Augustino Mwilanvya Hostel
Hosteli yenye malazi safi na salama kwa wanafunzi na wageni wa Jimbo.
Soma ZaidiViwanda Vidogo na Biashara (Small Industries)
Miradi ya uzalishaji wa Jimbo inayounda ajira na kujenga uchumi wa jamii.
Nzimano Soap
Kiwanda kidogo cha Jimbo kinachozalisha sabuni kwa ajili ya matumizi ya jamii.
Soma Zaidi
Nzimano Livestock Farm
Mifugo mbalimbli ya Nyumbani, Ngombe, Mbuzi, Kuku, Bata, Nguruwe, sungura.
Soma Zaidi
Amahoro Stationary
Duka la vifaa vya shule na ofisi vinavyohudumia jamii na taasisi za Jimbo.
Soma Zaidi